YA LEO HUKO BUNGENI,RIDHIWANI KIKWETE AAPISHWA.
Ilikua shangwe na furaha huko Bungeni leo,Mh.Anne Makinda akiwaapisha wabunge wapya ambao ni
Mh.Godfrey Mgimwa mbunge mpy wa jimbo la Kalenga.
Mh. Mgimwa akisindikizwa kuingia katika ukumbi wa Bunge.Hakuwa peke yake,pia Mh.Spika wa Bunge alikua na kazi ya kumwaapisha Mh. Ridhiwani Kikwete kama Mbunge mpya wa jimbo la Chalinze

Ukafika ule wakati wa kiapo kwa wabunge wapyaa

Mh.Mgimwa akila kiapo mbele ya Spika wa bunge na wabunge huko mjini Dodoma

Mh.Ridhiwani akila kiapo bungeni
Mh.Godfrey Mgimwa mbunge mpy wa jimbo la Kalenga.Ukafika ule wakati wa kiapo kwa wabunge wapyaa
Mh.Mgimwa akila kiapo mbele ya Spika wa bunge na wabunge huko mjini Dodoma
Mh.Ridhiwani akila kiapo bungeni
Comments
Post a Comment