WASANII WALIOJISHINDIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD

Wimbo bora wa asili wenye vionjo ya Tanzania-Bora mchawi,Dar Bongo Massive
2-Msanii bora chipukizi-Young killa
3-Wimbo bora wa zouk-Yahaya,lady jaydee
4-Wimbo bora wa ragga-Chibwa ft juru -Nishai
5.Wimbo bora wa afro pop-Diamond-my no1
6.Wimbo bora wa reggae-Dabo-niwe na wewe
7.Wimbo bora wa taarab-Mzee yusuph-wasi wasi wako
8.Kikund cha mwaka cha taarab-Jahazi modern
9.Mwimbaji bora wa kike taarab-Isha Ramadhan
10.Mwimbaji bora kiume taarab-Mzee yusuph
11.Wimbo bora wa kiswahili bendi-Ushamba mzigo,Mashujaa bendi
12.Mwimbaji bora wa kiume bend-Jose Mara
13.Mwimbaji bora wakike bendi-Luiza Mbutu
14.Bendi ya mwaka-Mashujaa bendi
15.Rapa bora wa mwaka bendi-Furguson
16.Mwimbaji bora wa kike,kizazi kipya-Lady jaydee
17.Mwimbaji bora wa kiume,kizazi kipya-Diamond
18.Kikundi bora cha mwaka kizazi kipya-Weusi
19.Wimbo bora wa hiphop-nje ya box-Weusi
20.Wimbo bora wa RNB-closer-Vanesa Mdee
21.Msanii bora wa hipjop-FidQ
22.Wimbo bora wa Afrika Mashariki-Tubonge-Jose chameleone
23.Wimbo bora wa kushirikiana/kushirikisha-muziki kitu gani-Nay wa mitego ft Diamond
24.Mtunzi bora wa mwaka bendi-Christian Bella
25.Mtunzi bora wa mwaka taarab-Mzee Yusuph
26.Mtunzi bora wa mwaka hiphop-FidQ
27.Mtayarishaji bora wa taarab-Enrico
28.Mtayarishaji bora wa bendi-Amoroso
29.Mtayarishaji bora wa kizazi kipya-Man water
30.Video bora ya mwaka ya muziki-My no 1-Diamond
31.Hall of fame,Institution-Msoud Masoud
32.Hall of fame,Individual-Hassan bitchuka
33.Mtumbuizaji bora wa kiume wa mwaka-Diamond
34.Mtumbuizaji bora wa kike wa mwaka-Isha Ramadhani
35.Video bora ya mwaka-Number one-Diamond
36.Wimbo wa mwaka-Number One-Diamond

Comments

Popular posts from this blog

USIYOJUA KUHUSU WIMBO WA TUNDA MAN

CCM WAJIPANGA UPYAAAAAAAAA