tukio la kijasusi


Jambazi lisilofahamika kwa jina limeua watu nane kwa kuwapiga risasi na kuwajeruhi wengine kadhaa na kisha kuwapora simu za mkononi katika matukio tofauti mkoa wa Kipolisi wa Tarime Rorya na kisha kutokomea kusikojulikana.

Comments

Popular posts from this blog

USIYOJUA KUHUSU WIMBO WA TUNDA MAN

CCM WAJIPANGA UPYAAAAAAAAA