MSIBA EATV
R.I.P Kenneth Kidago Lyanga
Mbunifu Msaidizi na Mtangazaji wa Habari za Michezo wa East Africa Radio Kenneth Kidago Lyanga amefariki dunia nyumbani kwake Mwenge Mlalakua, Jijini Dar es Salaam.
Mipango ya mazishi ya Kenneth Lyanga inafanywa na familia yake.
Uongozi wa East Africa Television , East Africa Radio pamoja na wafanyakazi wenzake wanatoa pole kwa familia ya marehemu Kenneth.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Marehemu Kenneth Kidago Lyanga Mahala Pema Peponi, Amina.

Comments
Post a Comment