KIKWETE AKATA UTEPE WA MAWASILIANO LEO.

Rais Kikwete azindua “Telecommunication Traffic Monitoring System”



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Saidi Meck Sadick na wadau wengine wa TEHAMA (picha zote: IKULU).
mweshimiwa Dr.jakaya kikwete leo amezindua rasmi mtambo wa kuhakiki takwimu za mawasilisno 

Comments

Popular posts from this blog

USIYOJUA KUHUSU WIMBO WA TUNDA MAN

CCM WAJIPANGA UPYAAAAAAAAA