HII NDIYO HABARI YA MJINI
madada hawa wanaswa wakipeana nyama za ulimi hadharani,tukio hilo limetokea jana katika ukumbi maarufu jijini.kwa bahati hawakuweza kufahamika majina yao.vitendo hivi vimepelekea kujadiliwa na wadau mbalimbali kuwa vitendo vya usagaji ni moja ya mambo yanayoshika kasi nchini
Comments
Post a Comment