REAL MADRID KUILAZA FC BARCELONA
Bale asherekea bao la ushindi dhidi ya Barcelona
ni baada ya mshambuliaji bale kupachika bao dakika za mwisho,kitendo kilichopelekea madrid kuutwa ubingwa wa copa del rey jijini hispania............Barcelona ambayo imekuwa ikishuhudia msururu wa matokeo yasiyo ya kuridhisha katika siku za hivi punde inafunga orodha ya tatu bora ikiwa na alama 78.
Madrid sasa inamuda wa kutoka kujiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya dhidi ya mabingwa watetezi Bayern Munich ya Ujerumani.
Mechi nyingine ya nusu fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya itakuwa kati ya Chelsea ya Uingereza dhidi ya Atletico Madrid.
Nusu fainali hizo zitachezwa juma lijalo.
Comments
Post a Comment