Dereva Vodacom jela miaka 7


MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa imemhukumu dereva wa Kampuni ya Simu ya Vodacom , Mussa Malima (28) mkazi wa mjini Sumbawanga kifungo cha miaka saba jela au faini. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Malima kukiri makosa matatu ya mwendo kasi, yaliyosababisha kifo cha mwendesha pikipiki na kujeruhi abiria wawili. ...

Comments

Popular posts from this blog

USIYOJUA KUHUSU WIMBO WA TUNDA MAN

CCM WAJIPANGA UPYAAAAAAAAA